: 43Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga | Page 2 | JamiiForums
Oct 19, 2015. #24. Kumbuka pia kuwa ufungaji wa mashine za Diesel hasa kwa maeneo ya mjini ni tatizo kubwa sana kutokana na noise level- hutoa kelele sana wakati wa kusaga mahindi. Ni swala la mazingira pia. unaweza usipate kibali kutoka kwa mamlaka husika hasa halmashauri. Ni wazo tu hasa kama lengo lako lilikuwa ni kufunga maeneo ya mjini.
Consulta
S Kamilisha Seti Mashine ya Kusaga Mahindi-Kingoal Milling
Mashine hii ya Kusaga Unga wa Mahindi Iliyounganishwa imeundwa kujumuisha kusafisha, unga kuota, kusaga, kupepeta, na ufungaji katika mashine moja. Uwezo unaopatikana: 400kg-1.3tani kwa saa (10-30Tani kwa siku) Compact design for space-saving Includes cleaning, degermination, kusaga, kupepeta, and packaging High efficiency for less labor
Consulta
Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti | JamiiForums
Mar 17, 2008. 55,901. 87,213. Aug 9, 2016. #4. santos mtn said: habarini ndugu zangu, Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika. Watembelee hawa jamaa wana mashine mbali mbali, nilikua naongea nao muda mfui uliopita baada
Consulta
Wauzaji wa Mashine za Kusagia Unga Tanzania
Wauzaji wa Mashine za Kusaga Unga Tanzania. Bei Ya Mashine za Kusagia Unga kwa Wauzaji wa Mashine za Kusagia Unga Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Mashine za Kusagia Unga unazotaka kununua. Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.
Consulta
· Mobile: +255-754-272801. E mail: [email protected]. Region: Kilimanjaro-Tanzania. Lutifya said: Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote
Consulta
Bei ya Mashine za Kukoboa na Kusaga | JamiiForums
Oct 18, 2015. #4. Mashine ya Kusaga ama kukoboa ina sehemu mbili. INJINI na KINU. INJINI / MOTA zinapatikana kwa ukubwa tofauti yaan Horse Power mbalimbali. Eg. HP 12, 15, 20 na kuendelea. Injini nzuri kwa kupiga mzigo na Ulaji mzuri wa Mafuta ni HP 20 bei yake ni 950,000 aina ya Jiang Dong JD, ama DF ama AMEC zote za mchina.
Consulta
Kinu cha pamoja cha mchele | Mashine ya kusaga na kusaga mchele
Sehemu ya kusaga mchele ya mashine hii inaweza kusindika mchele kuwa mchele kwa wakati mmoja, na kukamilisha utenganisho wa mchele, pumba, na mchele uliovunjika
Consulta
· Delivery: Popote kwa gharama ya mteja. #kusaga #ujasiriamali #mashineyakusaga #mjasiriamali #crusher #machine #mashine #tuagizeltd #thebridgetz 122w February 13, 2022 Log in to like or comment. More posts from tuagizeltd See more posts Meta About
Consulta
Bukobawadau-BIASHARA YA KUNUNUA MAHINDI, KUKOBOA, KUSAGA…
Bukobawadau. ·. June 21, 2020 ·. BIASHARA YA KUNUNUA MAHINDI, KUKOBOA, KUSAGA NA KUUZA UNGA WA SEMBE KWA WATEJA. Mtaji wa biashara. Hakikisha una mtaji wa kutosha utakao wezesha kufanya yafuatayo:-Kulipia pango la sehemu ya biashara.-Kununua mahindi, kukoboa, kusaga,kufunga kwenye mifuko.-Kulipia
Consulta
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ---------------- SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA. 13 YA
Gharama ya jenzi/Ununuzi (5) Fedha za Uje n zi/ unu i zilivyopatikana (6) Matumizi B inaf s/B a hara) 6 Mashine za kusaga nafaka,Viwanda,Mitambo ndani na nje ya Tanzania. (1) Mashine za kusaga,nafaka ,Viwanda Mitambo (2) Mahali zilipo (3)
Consulta
SEMINA: MCHANGANUO WA BIASHARA YA
Kabla hatujaenda kuanza rasmi kuandika hatua kwa hatua mpango wa biashara hii ya USADO Milling kwanza ni vizuri kujikumbusha maana hasa ya Mpango/Mchanganuo wa biashara ni kitu gani. Maandishi
Consulta
· Mkuu mashine ya kusaga na kukoboa sijaagiza kutoka nje. Hii niliinunua kutoka kwa mstaafu mmoja wa Relwe(TRC) mwaka 2010 nikiwa chuo. Nilinunua kinu cha kukoboa na kinu cha kusaga na mota moja niliyoifunga katikati kwa vinu vyote. Mota yangu ni
Consulta
Empowering Africans to Achieve Affordable & Dream Houses | Makazi
Just Use Your Local Builder and Our Designers & Engineers Will Supervise Him Online to Ensure That the House is Built Exactly as We Have Designed! Affordable Houses. Build 3 bedrooms house that uses few roofing sheets (~60) & few blocks (~2000) Normal Houses. Build the house that will provide both security and welfare for your family.
Consulta
· Wana JF kuna mtu anafanya au anaijua hii biashara? Je gharama zake za mwanzo ni kama sh ngapi? Challange zake kubwa ni zipi? Je inahitaji uangalizi mkubwa kama biashara nyingine ndogo ndogo ndogo? Manake kwa sisi wajasiriamali ukilala kidogo tuu lazima ukatwe any ideas?
Consulta
· Mkuu mashine ya kusaga na kukoboa sijaagiza kutoka nje. Hii niliinunua kutoka kwa mstaafu mmoja wa Relwe(TRC) mwaka 2010 nikiwa chuo. Nilinunua kinu cha kukoboa na kinu cha kusaga na mota moja niliyoifunga katikati kwa vinu vyote.
Consulta
· UnazungunasKila mashine ya kukoboa au ya kusaga nafaka ina vitu vifuatavyo:-1.Motor 2. Kinu chenyewe 3. Starter switch(box) 4. Main Switch 5. Socket Breaker 6. Belts 7. Chassis (angle iron kwa ajili ya foundation) 8. Wires, clamps, bulbs Motor-Zipo za horse power kuanzia 15,20,25,30, 35, hadi 60 Kinu cha kusaga No 45, 50,
Consulta
· Ukitaka kufungua mashine za kusaga na kukoboa, tafuta mtaji hata wa gunia 5 za kuanzia, maana wateja huenda mashine yenye mahindi, hivyo utauza MAHINDI, PUMBA na UNITS ZA UMEME kwa haraka. Ikumbukwe, gunia 1 linatoa debe 3 za pumba, na kila debe ni 4, 000 ( bei ya sasa 2022 November)
Consulta
· 11,120. Aug 3, 2020. #9. Kama utatumia umeme,kwa machine na motor za 15 HP na jengo andaa 20 mil. -machine ya kukoboa namba 10 ni 2.5mil na motor ni 1.3 mil. -machine ya kusaga made in tz laki 8 motor 1.3 mil. -machine ya kukoboa mahindi laki 4 motor 1.3 mil. -wiring pamoja na Fundi umeme 1.5 mil. -jengo 7 mil.
Consulta
SEMINA SIKU YA 4: MRADI WA MASHINE YA KUSAGA UNGA SAFI NA SALAMA WA DONA (MCHANGANUO HATUA KWA HATUA…
Leo ni siku ya 5 ya semina yetu hii na tunakwenda kujifunza jinsi ya kuandika hatua kwa hatua sura inayoitwa MIKAKATI NA UTEKELEZAJI. Sura hii pia ni muhimu kwani baada ya kulijua vizuri soko lako ndipo sasa unapanga ni mambo gani utakayoyafanya, mbinu mbalimbali utakazotumia ili uweze kuyafikia malengo uliyojiwekea kibiashara.
Consulta
: ROYAL SECURITY SOLUTIONS · Mar 29, 2014. 519. 133. May 3, 2020. #3. Hii biashara in mzuri kama upon kwenye eneo lenye nafaka nyingi ( mfano, mahindi) Kuhusu gharama zipo za umeme na matengenezo madogo madogo. Kwenye umeme Sh. Elfu 10 unapata unit 28.4 ambazo hadi zinaisha utapata wastani wa shilingi elfu 20 hadi 35 elf. (Bei sh. 50).
Consulta
· Ukitaka kufungua mashine za kusaga na kukoboa, tafuta mtaji hata wa gunia 5 za kuanzia, maana wateja huenda mashine yenye mahindi, hivyo utauza MAHINDI, PUMBA na UNITS ZA UMEME kwa haraka. Ikumbukwe, gunia 1 linatoa debe 3 za pumba, na kila debe ni 4, 000 ( bei ya sasa 2022 November).
Consulta
Dilizote | Mashine Yakusaga Na Kukoboa 2 In 1.
Product Details: Mashine Yakusaga Na Kukoboa 2 In 1. -Faida Za Mashine Hii 🔻Inakazi Mbili Inasaga Na Kukoboa Kwa Wakati Mmoja. 🔻Inarahisisha Kazi Na Kupunguza
Consulta
:3 SEMINA: MCHANGANUO WA BIASHARA YA KUSAGA
1. Ni lazima afikirie katika akili yake ni biashara gani anayotaka kuifanya. 2. Akishapata wazo la biashara aitakayo, kitu cha pili ni kulifanyia utafiti
Consulta
· Lengo kuu la kuanzisha Uzi huu nikuomba ushauri na elimu juu ya mradi huu wa Mashine za Kusaga na Kukoboa Mpunga. Ushauri na Elimu kuhusu mradi huu uangazie katika maeneo makuu ya yafuatayo:-. (i) Gharama za kuanzisha mradi (initial investment costs) (ii) Mahala/Eneo sahihi linalofaa kwa mradi huu.
Consulta
· Kwanza wewe unaye tafuta kuwekeza kwenye mashine ya kusaga, hiyo lugha ya kupaka rangi upepo itakukosesha watu wa kukusaidia. Labda niseme hivi mimi ninao uzoefu wa mashine ya kusaga. Kusema ina faida ni kweli ina faida saana tu! Maelekezo ya 2.
Consulta
· 317. Jul 28, 2017. #1. Nauza machine ya kusagia Karanga pamoja na vitu vikavu. Ina watts 3000. Inaweza kusaga mpaka gram 700 kwa wakati mmoja. Ni brand new. 520,000/ tu. 0713662655.
Consulta
· - Mashine ya kusaga namba 75 ni Tshs.2,500.000/=-Mashine ya kukoboa rola tatu ni Tshs. 2,500,000/= Mashine hizo zinakuwa zimewekewa Mota ya 25 Horse powe, Stata ya 25HP pamoja na frame zake. Wasiliana na
Consulta
· Cha msingi cha kufanya ni kubaki katika ile ile miradi ya zamani ambayo wengi wanafanya ila wewe utafute utofauti wake ili kuendana na ushindani. MIRADI YENYE FAIDA KUBWA ZAIDI. 1. MASHINE YA KUKOBOA NA KUSAGA UNGA. Huu ni mradi maarufu sana na asilimia kubwa sana ya wenye pesa wanafanya mradi huu. Lakini kama
Consulta
· Miezi mitatu ijayo gharama zote zitakuwepo isipokua ya mashine kwahyo mieizi mitatu ijayo utapata faida milion 10 ktk hiyo Tani 30. Kwani hiyo Machine ya kusaga inapatikana hapa Nchi. Valar Morghulis Member Mar
Consulta
· Habari zenu wakuu. Kama tangazo linavyosomeka ningependa kufahamu gharama za manunuzi ya machine ya kusaga nafaka pamoja mahali zinapoatikana. Ningependa kufahamu pia taratibu nyingine za kufuata kabla ya kufungua centre ya kusaga na kukoboa pamoja na gharama zake. Natanguliza shukrani za
Consulta